Kenya yanyakua jumla ya medali 15 kwenye mashindano ay unyanyuaji uzani

  • | Citizen TV
    343 views

    Timu ya taifa ya kenya imemaliza kombe la dunia la unyanyuaji uzani kwa walemavu wasioweza kuona kwa kishindo na kukusanya jumla ya medali 35 huko Kazakhstan.