Kenya yaongeza medali nyingine 15 kwenye siku ya pili ya mchuano wa dunia nchini Kazakhstan.

  • | Citizen TV
    279 views

    Timu ya taifa ya unyanyuaji uzani kwa walemavu wa kutoona imeongeza medali nyengine kumi na tano za dhahabu kwenye siku ya pili ya mchuano wa dunia nchini Kazakhstan.