Kenya yaongoza kwa usalama wa angani katika ukanda wa Afrika Mashariki, Kati na Kusini

  • | KBC Video
    51 views

    Kenya imeorodheshwa kuwa taifa bora zaidi kwenye maswala ya usalama wa angani katika ukanda wa Afrika Mashariki, Kati na Kusini; kufuatia utafiti uliofanywa na shirika la kimataifa kuhusu usafiri wa angani. Kenya ilipewa asilimia 91.77 dhidi ya alama wastani za kimataifa za asilimia 71.86.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #darubiniwikendi #News