- 1,234 viewsDuration: 5:40Kenya imesema itazungumza na Urusi kuhusu ongezeko la raia wake wanaoajiriwa kupigana katika vita dhidi ya Ukraine, ikikielezea kitendo hicho kama kisichokubalika. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw