Kenya yapokea shehena ya kwanza ya chanjo ya Covid-19

  • | KBC Video
    Kenya jana ilipokea shehena ya kwanza ya chanjo za Oxford/AstraZeneca zitakazosaidia kukabiliana na ugonjwa wa COVID 19 humu nchini .Waziri wa Afya Mutahi Kagwe akiongea katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta wakati shehena ya kwanza ya dozi millioni 1.02 za chanjo hiyo zilipowasili alisema Kenya imekuwa ikipigana na ugonjwa wa COVID kwa kutumia risasi za mpira lakini sasa imepokea silaha kamili ya kupigana na ugonjwa huo.Hata hivyo aliwaonya wakenya waendelee kuzingatia masharti ya kuzuia msambao wa ugonjwa huo.Wahudumu wa afya ndio watakuwa wa kwanza kuchanjwa Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive