- 740 viewsShirika la kimataifa la kahawa linasema kwamba Kenya inashikilia nafasi ya tano katika uzalishaji wa kahawa barani Afrika. Lakini wakulima wa zao hilo wanasema kuna fursa mpya zimelipiku zao hilo kutokana na kushuka kwa soko lake. Lakini wakulima wa kahawa nchini Kenya wanaendelea kuathiriwa na mabadilko ya hali ya hewa, bei na sasa, na ujenzi wa nyumba unaoendelea. Harrison Kamau anasoma ripoti ya mwandishi wetu wa Nairobi Frncis Ontomwa. #shirika #kimataifa #kahawa #kenya #uzalishaji #afrika #haliyahewa #voa #voaswahili - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Kenya yashikilia nafasi ya tano katika uzalishaji kahawa, licha ya fursa nyingine kulipiku zao hilo
- 12 Jul 2025 - The family of Julia Njoki is demanding justice for their daughter as they remain unconvinced about the circumstances surrounding her death after the Saba Saba protests.
- 12 Jul 2025 - The Kenya Sugar Board (KSB) has called on farmers to support a planned three-month shutdown of sugar factories across the country, arguing the move will allow sugarcane to mature fully and earn farmers higher returns. In a statement shared on Saturday,…
- 12 Jul 2025 - National Assembly Majority Leader and Kikuyu Senator Kimani Ichungw’ah has slammed the opposition brigade over their lack of of agenda and fueling the politics of violence and divisions in the country. Speaking during an empowerment drive in Narok…
- 12 Jul 2025 - Kenya Defence Forces (KDF) staged a spirited comeback to edge out Kenya Ports Authority (KPA) 3-2 in a nail-biting semifinal clash played on Saturday, July 12, 2025, at the Moi International Sports Centre indoor arena in Kasarani, securing a place in…
- 12 Jul 2025 - In a sharp rebuttal, Kindiki described the claims as “laughable” and “a clear sign of panic” within opposition ranks.
- 12 Jul 2025 - “Whether you're a leader or hold any other position, if you pay criminals to cause havoc, we will hold you to account."
- 12 Jul 2025 - Kenya Power has announced scheduled power interruptions in several parts of the country on Sunday, July 13, 2025,
- 12 Jul 2025 - President William Ruto has reappointed former judge of the East African Court of Justice Charles Nyachae as the Chairperson of the Kenya School of Government for a three-year term.
- 12 Jul 2025 - ." Boakai confirmed his education was indeed in Liberia.
- 12 Jul 2025 - A Director at Mara Ndovu Lodge Limited was arraigned before the Milimani Law Courts over charges of defrauding an unsuspecting victim out of Ksh.48.8 million in a sham investment deal.