Kenya yashiriki katika mashindano ya Chipukizi ya Michezo ya Jumuiya ya Madola nchini Trinidad

  • | Citizen TV
    280 views

    MASHINDANO YA CHIPUKIZI YA MICHEZO YA JUMUIYA YA MADOLA YATAANZA RASMI SIKU YA IJUMAA KISIWANI TRINIDAD NCHINI TRINIDAD AND TOBAGO. KIKOSI CHA KWANZA CHA TIMU YA KENYA KIMEWASILI TRINIDAD BAADA YA SAFARI YA SAA 28.