Kenya yatozwa faini ya milioni 6.5 na CAF | Yaonywa kuhusu kupokonywa uenyeji wa mechi!

  • | Citizen TV
    2,175 views

    KENYA SASA ITALAZIMIKA KULIPA FAINI YA SHILINGI MILIONI SITA UNUSU KWA UKIUKAJI WA TARATIBU ZA KIUSALAMA WAKATI WA MECHI KATI YA KENYA NA MOROCCO JUMAPILI. SHIRIKISHO LA SOKA BARANI AFRIKA (CAF) PIA LIKIONYA KUWA KENYA IKO KWENYE HATARI YA KUPOKONYWA HAKI YA KUWA MWENYEJI WA MECHI ZILIZOSALIA ZA HARAMBEE STARS IWAPO UKIUKAJI HUO HAUTAKOMA.