Skip to main content
Skip to main content

Kenya yazindua programu mpya ya malipo ya kidijitali kwa watalii – rahisi na salama

  • | TV 47
    167 views
    Duration: 2:10
    Programu mpya yazinduliwa kurahisisha malipo kwa watalii. Watalii sasa wanaweza kulipa moja kwa moja kutoka kwenye akaunti. Malipo ya hoteli, usafiri na ununuzi bila pesa taslimu au kadi za kimataifa. Teknolojia hii yaongeza usalama na urahisi kwa wageni. Hatua hii yaweka Kenya kama kituo cha kisasa cha utalii wa kidijitali. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __