Kenyans react over proposal to ban pornographic material in the country

  • | Switch TV
    Ni wazi kwamba swala la filamu za ngono kupigwa marufuku humu nchini na wahusika kukabiliwa kisheria limepokelewa kwa hisia mseto miongoni mwa wakenya. Hata hivyo hoja ya iwapo elimu ya ngono inafaa kufunzwa shuleni na majumbani pia imeongeza joto kwenye mdahalo huo huku wengi wataja kuwa huenda hatua hiyo ikawa suluhu ya watu kukoma kutazama filamu hizo mitandaoni #SwitchTVNews #Kenya SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: http://bit.ly/SwitchTVNews Connect with Switch Tv Online! Stream live via www.switchtv.ke/live Find Switch Tv on Facebook: https://www.facebook.com/switchtvkenya Follow Switch Tv on Twitter: https://twitter.com/switchtvkenya Follow Switch Tv on Instagram: https://www.instagram.com/switchtvke/