- 1,945 viewsMchakato wa Nairobi wa kurejesha Amani mashariki ya DRC umeanza kwa awamu ya tatu mjini Nairobi kwa kutatua mgogoro wa mashariki ya Congo mjumbe maalum wa EAC Uhuru Kenyatta aliyekuwa rais wa Kenya amehimiza vikosi vya jeshi la DRC na waasi wa M23 kuweka silaha chini ili kuzuia maafa zaidi. Sikiliza ripoti hii maalum kuhusu hali ya usuluhisho ilivyo katika mgogoro huo… #mchakato #nairobi #amani #suluhu #masharikidrc #awamuyatatu #nairobi #mgogoro #drc #vikosi #jeshi #waasi #m23 #silaha #maafa #mgogoro #dunianileo #voa #voaswahili - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Kenyatta ataka pande zote katika mgogoro wa DRC kuweka silaha chini
- 29 Mar 2024 - Six Kenyans were killed on Friday morning by suspected Al-Shabaab militants at Dhobley town near Garissa County on the Kenya-Somalia border.
- 29 Mar 2024 - Six Kenyan traders have been shot dead by suspected Al Shabaab militants in Dhobley town, Garissa County.
- 29 Mar 2024 - The lifeless body of a middle-aged man was on Friday discovered inside an electronics store in Mwingi, Kitui County with CCTV surveillance revealing that he fell from the establishment's roof while breaking into the premises.
- 29 Mar 2024 - US President Joe Biden was joined in New York on Thursday by his predecessors Barack Obama and Bill Clinton at a blockbuster fundraising event where he collected $25 million (approx. Ksh.3.3 billion) to go towards his re-election bid.
- 29 Mar 2024 - The Safari Rally was first held in 1953, then known as the East African Coronation Safari, organized to commemorate the coronation of Queen Elizabeth II.
- 29 Mar 2024 - Following the girl's performance, CS Ababu Namwamba visited Mercy at her school.
- 29 Mar 2024 - Why NTSA has suspended licenses for two PSV Saccos
- 29 Mar 2024 - She revealed plans to graduate in 2025 and apply to the medical sector in the Army.
- 29 Mar 2024 - Gikomba traders get temporary relief as 700 containers to be released
- 29 Mar 2024 - Africa has 524,755,030 people aged 15-35 years old.