Kero la Mafuriko I Mvua kubwa yasababisha uharibifu na vifo

  • | KBC Video
    50 views

    Maelfu ya Wakenya wameathiriwa na mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika sehemu nyingi humu nchini. Familia 825 huko Tana River zimeathiriwa na mafuriko huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka. Kulingana na mshirikishi wa shirika la Msalaba Mwekundu katika eneo la Pwani, Hassan Musa, nyumba na barabara zimeharibiwa katika kaunti za Tana River na Lamu . Hii hapa taarifa ya Khalid Abdullahi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive