Kero la Uhalifu I Eneo la North Rift lazidi kuvamiwa na wezi wa mifugo

  • | KBC Video
    108 views

    Hali ya taharuki imetanda katika kaunti ya Samburu kufuatia mauaji ya watu wanne. Wakaazi wa Marti Samburu kaskazini walindamana kulalamikia mauaji ya watu hao wakiwemo watoto wawili yanayodaiwa kutekelezwa na wezi wa Mifugo.Takriban mifugo 200 waliibiwa wakati wa kisa hicho,na kuwalazimu wakazi mia saba wa manyata ya karthikiria kukimbia usalama kwengineko .Haya yanajiri huku wafugaji wengine wawili wakiuwawa eneo la Lolmolog Samburu magharibi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #NorthRift #News