Kero la Ukame | Kundi la ushirikishi labuniwa kusambaza chakula

  • | KBC Video
    43 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua amehimiza ushirikiano baina ya serikali ya taifa, serikali za kaunti na washirika wa maendeleo katika juhudi za kukabiliana na ukame unaokumba taifa hili. Akiongea baada ya kuongoza mkutano wa pamoja wa tanzu hizo tatu, Gachagua alisema makundi ya ushirikishi ya kaunti yakiongozwa na makamishna wa kaunti yatasimamia usambazaji chakula cha msaada katika maeneo yaliyoathiriwa. Haya yanawadia wakati jamii zinazoishi katika maeneo kame zikiendela kukadiria hasara kufuatia vifo vya mifugo kutokana na kiangazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ukame #News #njaa #rigathigachagua