Kero ya barabara Kitale

  • | Citizen TV
    564 views

    Watumizi wa barabara kuu ya kutoka kitale kuelekea lodwar, wamelalamikia kuharibika kw abarabara hiyo katika eneo la leba baada ya mwanakandarasi kudaiwa kukata sehemu za barabara hiyo na kuziacha zikiwa na mashimo kwa miezi mitano sasa. madereva wanalalamika kuwa hali hiyo inasababisha ajali nyingi huku magari yao yakiharibika. Collins shitiabayi na taarifa hiyo.