Kero ya magaidi na wizi wa mifugo yazidi huku polisi wanasa bangi, cocaine na heroini Isiolo

  • | Citizen TV
    806 views

    Kilo 725 za dawa za kulevya, zikiwemo bangi, Cocaine na Heroine zimenaswa mjini Isiolo. Hali hiyo imefanya mji huo kutajwa kama kitovu cha uingizaji na usambazaji wa dawa za kulevya nchini. Aidha, kwenye ziara ya waziri wa usalama Kipchumba Murkomen katika kaunti hiyo, imebainika kuwa usajili wa magaidi wa Al Shabaab na wizi wa mifugo, umezidi kuwa kero.