KERO LA UFADHILI | Wakimbizi Dadaab na Kakuma waishi kwa wasiwasi baada ya kusitishwa kwa ufadhili

  • | Citizen TV
    526 views

    Zaidi Ya Wakimbizi Laki Saba Katika Kambi Za Kakuma Na Daadab Ambao Hutegemea Chakula Na Fedha Kutoka Kwa Serikali Ya Marekani Wako Taabani Baada Ya Kusitishwa Kwa Ufadhili Wa Marekani. Mgao Wa Chakula Uliotolewa Mwaka Jana Umeendelea Kudidimia Ikikadiriwa Kuwa Kilichosalia Kitakwisha Katika Miezi Mitano Ijayo. Na Kama Anavyoarifu Gatete Njoroge Kwenye Makala Maalum Ya Kero Ya Ufadhili, Fedha Wanazopewa Wakimbizi Ili Kujikimu Pia Zimekwisha.