Kesi dhidi ya aliyekuwa kamishna Nathan Chelogoi imeahirishwa

  • | KBC Video
    23 views

    Kesi dhidi ya aliyekuwa kamishna wa mkoa Nathan Chelogoi kuhusiana na mzozo wa umiliki wa ardhi ya thamani ya shilingi bilioni 1.3 imeahirishwa. Hii ni baada ya upande wa mashtaka kutoa ushahidi mpya ambao haukukabidhiwa mawakili wa upande wa utetezi wakati wa kikao cha kutathmini mstakabali wa kesi hiyo. Mahakama imeagiza kesi hiyo isikizwe tarehe 29 mwezi Mei mwaka huu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News