Kesi kuhusu mauaji ya Edwin Kiptoo 'Chiloba'

  • | K24 Video
    44 views

    Kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwanamitindo wa Eldoret Edwin Kiptoo maarufu kama Chiloba imerejelewa hii leo huku shahidi anayeaminika kumuuzia mshukiwa sanduku ulimopataikana mwili wa marehemu akitoa ushahidi wake, Obadiah Ochieng aliiambia mahakama kwamba mshukiwa alifika dukani kwake tarehe tatu Januari mwaka huu akitafuta sanduku kubwa na kulipa akitumia njia ya mpesa .