- 13 viewsKesi ya ujenzi wa kanisa la gharama ya shillingi bilioni 1.2 katika Ikulu ya Rais inaendelea kusikizwa leo katika Mahakama ya Milimani ambapo pande za utetezi na washatakiwa zinatarajiwa kuwasilisha hoja zao. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya