Kesi ya kihistoria ya kujilipua iliyouwa 32 na kujeruhi 300 yaanza Ubelgiji

  • | VOA Swahili
    98 views
    Kesi kubwa kabisa katika historia ya Ubelgiji imeanza Jumatatu ambapo watu 10 wanaotuhumiwa kwa kujihusisha na mashambulizi ya mabomu ya kujitoa mhanga mjini Brussels mwaka 2016 ambayo yaliuua watu 32 na kujeruhi zaidi ya watu 300. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.