- 842 viewsDuration: 3:54Kesi ya kupotea kwa mvuvi Brian Odhiambo kwenye mbuga ya wanyama ya ziwa Nakuru inachukua mkondo mpya baada ya amri ya mahakama iliyotolewa Oktoba tarehe sita kufanya msako kwenye sehemu ya ziwa hilo kufukua miili inayoaminika imezikwa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya