Kesi ya kutaka kumng'atua Jaji mkuu Martha Koome

  • | K24 Video
    176 views

    Ombi la kutaka kumuondoa Jaji Mkuu Martha Koome limewasilishwa rasmi mbele tume ya idara ya mahakama JSC. Mkenya Michael Kojo Otieno anataka jaji mkuu koome kung’atuliwa uongozini kwa kile anachodai ni kukosa kufuata sheria katika kuteua jopo la wanachama wa mahakama ya rufaa ya ushuru baada ya kuteua watu 22 japo alitrajiwa kuteua kati ya watu 15 na 20. Hisia tofauti zimeibuka huku ombi la Michael Otieno likipuuziliwa mbali...Lakini Michael O[tieno ni nani?