Kesi ya Kutoweka kwa Brian Odhiambo

  • | NTV Video
    1,126 views

    Maafisa sita wa KWS wamezuiliwa katika gereza la Nakuru kwa siku saba wakikabiliwa na mashtaka ya kuteka nyara Brian Odhiambo. Mahakama pia ilisikiliza madai ya hongo ili kuficha ukweli kuhusu kupotea kwa mvuvi huyo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya