Skip to main content
Skip to main content

Kesi ya Lissu: Mvutano waibuka nje ya mahakama

  • | BBC Swahili
    60,818 views
    Duration: 56s
    Mvutano umeibuka nje ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam kati ya wanachama wa CHADEMA na Polisi, baada ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, kuahirishwa. #bbcswahili #CHADEMA #TunduLissu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw