Kesi ya Lissu yahairishwa tena

  • | BBC Swahili
    11,693 views
    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imeahirisha kusikiliza mashtaka mawili yanayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu. Katika shtaka la kwanza la uhaini, Mahakama imeahirisha kesi hiyo baada ya kubainika kuwa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) haijatoa uamuzi wa kuendelea au kutokuendelea na shauri hilo. Hakimu ameipangia kesi hiyo kusikilizwa tena Julai 15. Je, serikali itaendelea na kesi hiyo? @RoncliffeOdit anachambua kwa kina suala hili na mengine mengi katika Dira ya Dunia TV kwenye ukurasa wa YouTube BBC Swahili. - - #bbcswahili #tanzania #siasa #chadema #lissu #hukumu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw