Kesi ya mabwawa ya Aror na Kimwarer yaahirishwa

  • | KBC Video
    Usikiswaji wa kesi ya mabwawa ya Aror na Kimwarer haukuanza leo baada ya upande wa mashtaka kuwasilisha ombi la kutaka kujumuishwa kwa kesi dhidi ya aliyekuwa waziri wa fedha Henry Rotich na ile ya aliyekuwa mwenyekiti wa halmashauri ya ustawishaji bonde la Kerio David Kimosop.Hakimu mkuu Lawrence Mugambi ameagiza upande wa utetezi kuwasilisha majibu kwa ombi hilo katika siku tatu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News