Skip to main content
Skip to main content

Kesi ya mauaji ya mfanyabiashara Lukenya yachukua mkondo mpya

  • | Citizen TV
    14,779 views
    Duration: 3:52
    Kesi ya mauaji ya mfanyabiashara Jayeshkumar Kanji Velji, aliyeuawa kikatili katika eneo la Lukenya mwaka 2024, imechukua mkondo mpya baada ya mshukiwa mmoja kuamua kushirikiana na upande wa mashtaka kwa kutaka kugeuzwa shahidi wa serikali. Shahidi huyo, ambaye ni mwendesha bodaboda, alieleza kwa mara ya kwanza matukio ya siku ya mauaji na kuwahusisha washukiwa wenzake na uhalifu huo. Ode Francis ana taarifa zaidi.