Kesi ya mauaji ya Rex Masai

  • | Citizen TV
    1,477 views

    Mwanahabari aliyempiga picha afisa wa polisi anaedaiwa kumfyatuli risasi mwanadamanaji Rex Masai ameieleza mahakama jinsi alivyompiga picha polisi huyo Isaaiah Muragiri kwa siku mbili mfululizo. Mwanahabari huyo anasema kuwa alifuatilia muragiri kutokana na jinsi alivyokuwa anawafyatulia wanahabari na waandamanaji vizoa machozi kiholela