Kesi Ya Mauaji ya Were

  • | Citizen TV
    7,850 views

    Hali ya suitafahamu ilishamiri katika mahakama ya jkia baada ya mshukiwa mkuu wa mauaji ya Mbunge wa kasipul Charles Were kukosa kufikishwa mahakamani. Mshukiwa huyo Philip Aroko alijiwasilisha katika kituo cha polisi cha Gigiri jumatano usiku baada ya idara ya DCI kuchapisha picha yake ikimtaka kujiwasilisha .