Kesi ya mauwaji ya Shakahola imeendelea katika mahakama ya Mombasa kwa siku ya 3

  • | Citizen TV
    1,272 views

    Kesi kuhusiana na mauwaji wa Shakahola imeendelea mahakamani Mombasa huku sasa shahidi mmoja akijitokeza leo kukana ushahidi wake wa hapo jana. Shahidi huyu akisema kuwa, mengi aliyosema kuhusu mienendo ya muhubiri tata Paul Mackenzie hayakuwa ya kweli.