Kesi ya mswada wa fedha 2023

  • | K24 Video
    28 views

    Bunge la taifa kupitia mawakili wake linaitaka mahakama ya upeo kubatilisha uamuzi wa mahakama ya rufaa wa kutupilia mbali mswada wa fedha wa mwaka wa 2023. Wakiwasilisha rufaa yao mbele ya majaji saba wa mahakama ya upeo, mawakili hao wamedai kuwa maoni ya umma yalizingatiwa pakubwa tofauti na uamuzi wa mahakama ya rufaa iliyotupilia mbali sheria hiyo kwa kukosa kuzingatia maoni ya wakenya.