Kesi ya rufaa ya mswada wa BBI yaanza kusikilizwa

  • | KBC Video
    Kusikilizwa kwa kesi ya rufaa ya mswada wa Marekebisho ya katiba (BBI) kulianza katika Mahakama ya Juu hivi leo huku Mwanasheria Mkuu, Paul Kihara, akiitaka mahakama hiyo kutupilia mbali maamuzi ya Mahakama ya Rufaa na Mahakama ya Juu kwamba kesi zinaweza kufunguliwa dhidi ya rais aliye madarakani. Kihara pia anataka mahakama hiyo ikiri kwamba rais anaweza kuanzisha mpango wa marekebisho ya katiba kwani kumnyima fursa hiyo ni sawa na kukiuka haki yake ya kikatiba. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #SupremeCourt #BBI