- 16,189 viewsDuration: 32sKesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Tundu Lissu, imeahirishwa hadi Jumanne Februari 17 kutokana na kushindwa kuwasili kwa shahidi wa tatu. #bbcswahili #tanzania #tiktoktanzania🇹🇿 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw