Kesi ya ubakaji | Wairi mteule Mithika Linturi apumua

  • | KBC Video
    67 views

    Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 36 aliyemshtumu Mithika Linturi ambaye amependekezwa kwa uteuzi katika wadhifa wa waziri wa kilimo, kwa kujaribu kumbaka, ameyaondoa malalamishi yake. Kufuatia thibitisho la mkurugenzi wa mashtaka ya umma kwamba pande hizo mbili zimeafikiana, hakimu mkuu aliruhusu kuondolewa kwa kesi hiyo na kuagiza kwamba Linturi arejeshewe shilingi elfu-200 pesa taslimu, ilizolipa kama thamana.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ubakaji #News #mahakamani #mithikalinturi