Kevin Kangethe Kinyanjui mshukiwa wa mauaji akamatwa baada ya kujificha miezi 3

  • | Citizen TV
    8,388 views

    Maafisa wa upelelezi jijini Nairobi wamemkamata mshukiwa wa mauaji , anayedaiwa kutekeleza uhalifu huo marekani na kutorokea Kenya.