Skip to main content
Skip to main content

KFS yatangaza mpango wa kupanda miche nusu billioni

  • | Citizen TV
    437 views
    Duration: 1:13
    Idara ya msitu humu nchini imetangaza mpango wa kupanda miche nusu billioni ndani ya msimu huu wa vuli (short rains) kama njia moja kuongeza idadi ya miti na kusaidia kurejesha misitu mbalimbali zilizoharibiwa.