KHEPHIS latoa onyo kali kwa wafanyibisahra wanaoingiza mbegu gushi kupitia mipaka

  • | Citizen TV
    305 views

    Shirika la kukagua ubora wa Mbegu na mimea nchini Khephis Limetoa Onyo Kali kwa wafanyibisahra wanaoingiza mbegu gushi kupitia mipaka mbali mbali nchini na kuuwauzia wakulima kinyume na sheria kuwa watachukuliwa hatua kali za kisheria.