Kiambu: Gharama Zaidi za Lishe ya Kuku Zawazua Hasara kwa Wakulima Kabete

  • | NTV Video
    243 views

    Wakulima wanaofuga kuku wa mayai na wafanyabiashara katika soko la Wangige eneo bunge la Kabete walalamikia hasara kubwa inayochangiwa na gharama ya juu ya lishe ya kuku huku mayai nayoagizwa kutoka nje yakiwauzwa kwa bei nafuu ukilinganisha na ya humu nchini.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya