Kiambu: wakaazi watoa maoni kuhusu bajeti ya 2025/26

  • | NTV Video
    323 views

    Wakazi wa kaunti ya Kiambu wamejitokeza kwa wingi kutoa maoni yao kuhusu bajeti inayokisiwa kusomwa hapo kesho, wengi wakiwa na matumaini ya kushirikishwa kwa mapendekezo waliyoyatoa kuhusu makadirio ya bajeti.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya