Kiambu yahakikisha wanawake na watu wenye ulemavu wanapata zabuni za asilimia 30

  • | NTV Video
    46 views

    Afisa mkuu wa huduma za kijamii katika kaunti ya Kiambu Emilly Nkoroi, amesema serikali ya kaunti ya Kiambu inahakikisha kuwa wanawake na watu wanaoishi na ulemavu watapata zabuni za kipekee za asilimia 30.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya