| KIANGAZI CHA TURKANA | Athari za muda mrefu za ukame zaendelea kushuhudiwa

  • | Citizen TV
    571 views

    Athari ya muda mrefu wa ukame na kiangazi bado inaendelea kuwaathiri watu na familia nyingi katika kaunti ya Turakana. ukame huo uliathiri zaidi hali ya utapia mlo ambapo umekuwepo tangu jadi. SerfineAchieng’ Ouma alizuru kaunti ya Turkana na kujumuika na familia zilizoathirika na sasa anaarifu kuwa watoto hawapati chakula kingine isipokuwa chakula cha kukabiliana tu na utapia mlo kinachowasilishwa na wafadhili.