"Kiasi kikubwa nilichowahi kupata ni Laki nane"

  • | BBC Swahili
    479 views
    Michezo ya kubashiri (betting) imekuwa ikipata maarufu na kuzidi kushamiri kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia ambapo imerahisisha upatikanaji wake huku wengine wakicheza kwa siri. Lakini kwa baadhi wamekuwa ni tatizo la uraibu na wamejaribu kuacha na kushindwa. Mwandishi wa BBC Humphrey Mgonja amezungumza na vijana wanaojihusisha na michezo hii ya kubashiri na kuandaa taarifa hii #bbcswahili #tanzania #michezoyakubashiri Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw