Kiatu kinachopiga muziki : “Nilitaka kutengeneza kitu cha kipekee”

  • | BBC Swahili
    348 views
    Teddy Omondi kijana wa miaka miaka 21 ameweza kubuni kiatu ambacho kina uwezo wa kufanya mambo tisa ikiwemo kucheza muziki, tochi ya kumulika gizani na pia kuwa kama Kiyoyozi cha kupozea miguu wakati wa joto. Uvumbuzi huu wa kipekee ambao umefanywa na @teddyjacobs_the_innovator anasema ulitokana na ndoto yake tangu utotoni wa kubuni kitu ambacho bado hakijavumbuliwa. 🎥 @judith_wambare #bbcswahili #kenya #ubunifu