Kibet Bull na Billy Mwangi wazungumzia masaibu ya mateka

  • | Citizen TV
    14,620 views

    Baadhi ya vijana waliotekwa nyara na kuachiliwa wameelezea masaibu waliyopitia mikononi mwa watekaji kwa zaidi ya wiki mbili. Vijana hao wameelezea namna walivyozuiwa ndani ya chumba kilichokuwa na giza, kuhojiwa kuhusiana na kashfa dhidi ya serikali na kupata chakula mara mbili kwa siku.