Kifaa kipya cha kidijitali sasa kinapunguza mzigo kwa wanafunzi wenye ulemavu wa kuona

  • | K24 Video
    Wanafunzi walio na changamoto za kuona vyema sasa huenda wakafurahia mashine mpya za orbit 20 zinazotarajiwa kurahisisha mambo katika kuimarisha masomo ya wanaoishi na ulemavu wa kuona. Serikali nayo imepewa changamoto ya kuwekeza zaidi katika taasisi za wanaohitaji mafunzo maalum.