Kifo cha bwana harusi siku yake ya kufunga ndoa.

  • | KBC Video
    36 views

    Huzuni ilighubika kijiji kimoja katika eneo bunge la Kangundo,kaunti ya Machakos kufuatia kifo cha bwana harusi kilichotokea siku yake ya kufunga ndoa. Michael Musyoki ambaye alikuwa akitarajia kurasimisha ndoa yake akiwa na mkewe Mary Musyoki yadaiwa aliteleza,akaanguka na kisha kufariki alipokuwa akioga bafuni. Mwanahabari wetu Nancy Okware anaarifu zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News