Skip to main content
Skip to main content

Kifo cha Mama Mukumu: Wizara ya Afya yaunda kamati ya uchunguzi

  • | Citizen TV
    1,298 views
    Duration: 1:37
    Wizara ya afya imeteua madaktari na wapelelezi kutoka katika baraza la kudhibiti madaktari -KMPDC kuanzisha uchunguzi kuhusiana na kifo cha mama moja alipo kuwa akijifungua katika hospitali ya St. Elizabeth Mukumu, Kakamega.