Skip to main content
Skip to main content

Kifo cha mwanafunzi wa Moi University chazua maswali, polisi wamzuilia mshukiwa Nyamira

  • | Citizen TV
    968 views
    Duration: 2:37
    Maafisa wa polisi kaunti ya Nyamira wanamzuilia mwanaume mmoja kuhusiana na kifo tata cha mwanafunzi wa kike wa chuo kikuu cha Moi. Msichana huyo Sheryl Ohanga alipatikana ameanguka kutoka ghorofani kwa kile kilichodaiwa kuwa jaribio la kujitoa uhai huku sasa familia yake ikidai huenda alirushwa