Kifo cha Mwanahabari Sally Kwendo

  • | West TV
    488 views
    Jamaa na marafki wa mtangazaji wa redio sally kwendo wanaendelea kumwomboleza mwanahabar huyo katika boma lake katika eneo la utawala jijini nairobi baada ya kuaga dunia katika hospitali ya rufaa ya kenyatta juumanne alfajiri.